Monday, 14 March 2016

KIKAO CHA SUEC MARCH 11 2016

 FEEDBACK YA KIKAO CHA SUEC, 11/03/2016.
Habari wanamuhasso...
Siku Ya ijumaa, tulikuwa na kikao cha SUEC na kama ilivyo kikatiba Muhasso iliwakilisha wanafunzi kikaoni..

Mada zifuatazo tuliziwasilisha na kujadiliwa na kufikia kutoa muelekeo wa maamuzi ya Senate.
1: Kumekuwa na mabadiliko ya ratiba Ya UE kwa mwaka Wa kwanza na pili.
Hii tumeifanya ili kutoa nafasi kwa masomo basic kufanyika yenyewe tu pasipo kuwa na mitihani mingine siku hiyo.
( Anatomy, physiology, biochem na vile vile kwa mwaka Wa pili).
Pitia ratiba Yako mapema uone.
NOTE: For basic sciences, kutakuwa na oral exams siku Ya 4/4 na 5/4 hivyo kwa wale watakaokuwa na oral hizo watachelewa likizo yao kidogo. Hii ni kutokana na ufinyo wa muda wa siku za mitihani kwa sababu ya siku za pasaka.
2: SUEC imezuia kabisa uwepo Wa mitihani ya projections.
Theory exams zote zitafanyika kama printed exams.
3: SARIS. Kila départment na idara kiujumla wamepewa kazi na kuhakikisha saris inakuwa na matokeo yote sahihi na stahili kwa mwanafunzi.
( Utakuwa unaangalia saris kuhakikisha matokeo yako yapo sawa).
4: Central timetable.
Uandaji Wa ratiba Ya pamoja Ya chuo ili ikidhi matakwa Ya wanafunz na kuondoa usumbufu uliojitokeza hivyo CRs Wa mwk 1 & 2 mtatoa ushirikiano pale mtakapohitajika ili kufanikisha zoezi hili..
Serikali Ya wanafunz, MUHASSO inazidi kuwahasa wanamuhasso wote kufuata ratiba zao za mitihani na masomo/ Likizo kwa Clinicals.
Tupo pamojaa...
Wasiliana na viongozi Wako muda wowote utakapopata tatizo.
Imetolewa na:
Serikali Ya wanafunzi, MUHASSO.
14/03/2016.

No comments:

Post a Comment