YAH: KIKAO CHA SUEC JUU YA MATOKEO.
Habari ndugu wanamuhasso...
Leo, tulikuwa katika kikao cha senate of undergraduates committee
(SUEC) ambacho kinadiscuss na kuruhusu matokeo kwenda kikao cha juu
(university sénate).
Tumejadili matokeo yote ya shule zote na mambo
kadha wa kadha yamepatiwa ufumbuzi na mengine kupelekwa kikao cha juu
ili yapate majibu na uamuzi toka huko.