MUHASSO_official BLOG
Sunday, 23 August 2015
TAARIFA JUU YA UTATUZI WA SHIDA YA MAKAZI KWA WANACHUO WA MUHIMBILI
YAH: TAARIFA JUU YA HOSTELI ZA ZIADA.
Ndugu wanamuhasso...
Kwanza, tunapenda kuchukua nafasi kuwapongeza kwa mara nyingine tena kwa kumaliza mitihani kwa ujumla wake na kuanza likizo yetu ndefu.
Read more »
UTATA UNAOGUBIKA PROSPECTUS MPYA YA MWAKA 2014/15
YAH: TAARIFA JUU YA MASWALA YA PROSPECTUS NA MATOKEO.
Ndugu wanamuhasso,
Hivi karibuni kumekuwa na maswali mengi juu ya prospectus yetu na matokeo ya mitihani yetu ya mwisho wa Semista ya pili na hivyo kuleta mkanganyiko miongoni mwetu.
Read more »
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)