Sunday, 8 October 2017

MUHAS UNDERGRADUATE SELECTION 2017/2018

Download the document to see the selected candidates to join MUHAS for the academic year 2017/2018   CLICK HERE TO DOWNLOAD

Monday, 2 October 2017

​​💥TANZIA💥 TANZIA TANZIA​​

​​💥TANZIA💥 TANZIA TANZIA​​
​MUHIMBILI INSTITUTE OF ALLIED HEALTH SCIENCE STUDENT'S ORGANIZATION (MUIAHSSO)​💥

​​Wizara ya habari na mawasiliano inasikitika kuwatangazia ndugu wanamuiahsso kifo cha ndugu, rafiki na kipenzi chetu PASCHAL HAMAD, mwanafunzi wa DMLS mwaka wa kwanza​​

​kilichotokea jana tar 28/09/2017.saa tano usiku.msiba upo nyumbani kwao TABATA KISUKULU​.

​​Aidha serikali ya wanafunzi Muiahsso imepokea kwa maskitiko makubwa habari za msiba huu, hivyo kwa ujumla inatoa pole kwa DMLS wote, familia, ndugu jamaa na marafiki kwa kukutwa na msiba huu, Mungu akawe mfariji wenu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi​​.

​Hivyo basi tuwapo katika maombi na sala zetu, tumkumbuke ndugu na kipenzi chetu ​Paschal​ Pia familia yake Mungu akawe mfariji mkuu katika kipindi hiki kigumu​.

​Aidha wizara husika itatoa utaratibu wa kutoa rambirambi kwaajili ya ndugu yetu, tutoe kwa wingi kwaajili ya mwanafunzi mwenzetu!​!

​​MUNGU NA AILAZE ROHO YA NDUGU YETU, KIPENZI CHETU PASCHAL MAHALA PEMA PEPONI!! AIMEN!!

Ahsanten!!
By
​Paul s kambarage
D. Minister of
​Communication, information and publications​.